msaada wa sheria hii.

wa home

JF-Expert Member
Mar 16, 2012
233
41
Tunaishi ktk maeneo yasiopiwa ni viwanja vidogovidogo, kuna majirani zangu 2 wanajenga mabar ktk maeneo yao, 2na watoto wengi sn pale mtaani, sasa je? Kuna sheria ya kuzuia, bar isijengwe ktk makazi ya wa2? Na 2taanzaje kuwashtakia?. 2fanyeje!
 
Nadhani law of tort inaweza kukusaidia hapo. Nuisance could the the right complaint, but there is no nuisance yet because the bar has not been erected and operational!!!!. wadau mnasemaje? or Seek for an injunction to erect a pub in such an area giving your reasons
 
Back
Top Bottom