Msaada wa Shamba la kununua Arusha

Dec 3, 2014
43
14
Wakuu naomba kupewa Mwanga wa bei za mashamba say Acre 1 maeneo yanayozunguka jiji la Arusha(Wilaya zinazozunguka jiji).Shamba ni kwa ajili ya ufugaji.
 
Mkuu kichwa cha habari ya huu uzi basi ningekushauri kidogo ufanye masahihiisho hapo juu! Kwa kiswahili fasaha basi inaonesha ya kwamba unataka kuinunua Arusha yote!

Napendekeza lisomeke. "Naomba msaada wa kununua Shamba maeneo ya Arusha"
 
Wakuu naomba kupewa Mwanga wa bei za mashamba say Acre 1 maeneo yanayozunguka jiji la Arusha(Wilaya zinazozunguka jiji).Shamba ni kwa ajili ya ufugaji.
Kama upo tayari nichek nikupe shamba maeneo ya Manyati ecra 12 shamba lina mifereji.nicheki inbox.
 
86d4c572208a5f2571f016b025ec047e.jpg
 
Mch, Mollel Adrew. Ninalo Shamba ekari 1 yenye kunyweshewa bustani kwa kutumia Maji ya MTO Seliani. Lenye upana wa 18 kwa urefu wa 135, seliani ya juu kupitia mianzini au ngaramtoni wasiliana
 
Back
Top Bottom