Kaka Haji hata izi vdf 301 uki dump kwa NCK crack inamiss preloader, nmekwisha kujaribu sana but nothing, ila miracle ndio inaweza ku dump kwa jino moja/bin file na likafanya kazi....
Duh! Mkuu basi sijui tatizo ni nini maana mimi nilidump file likawa halina preloader ndio nika read na miracle as .bin file ndio nawashia ivo vi simu.....mkuu Times9 mm nilfanikiwa ku dump io file ya vfd301 kwa nck na preloader ilikuwepo lakini pia unaweza tumia miracle uka Read file as scatter na ukaichagua io preloader
solution ipo...... hakuna kinachoshindikana chini ya jua na file ipo kwenye google inapatikana kwa msaada zaidi nicheck nitakupa mautundu jinsi ya kuipata hiyo FILE SCATTERDownload Lipo ila km umei format kwa software haiponi hakuna solution kwasasa
I have got a working Bin filesolution ipo...... hakuna kinachoshindikana chini ya jua na file ipo kwenye google inapatikana kwa msaada zaidi nicheck nitakupa mautundu jinsi ya kuipata hiyo FILE SCATTER
PHONE;+255655890949 by dadyashfayna THE GENIUS GSM MOBILE PHONE
solution ipo mim nili iformat kwa miracle box crack nlipo kua najaribu kutoa FRP lock ika stuck nilihangaika nayo zaid ya mwezi mzima hadi nikaja kupata file nika iflash mara moja tu ikawaka na file la hi vfd 301 halipo kabisa mtandaoni utagoogle mpaka uzeeke (mafile yaliyopo mtandaoni yote feki hayafanyi kazi) na nimadogo hayana vitu vyote nakumbka moja lina 408MB na jingine 301MB but file lake original lina 3.49GB tena nlivo maliza kuiflash nika iunlock network
hiyo miracle haiitaji box lake na je unazijua driver za miracle cracksolution ipo mim nili iformat kwa miracle box crack nlipo kua najaribu kutoa FRP lock ika stuck nilihangaika nayo zaid ya mwezi mzima hadi nikaja kupata file nika iflash mara moja tu ikawaka na file la hi vfd 301 halipo kabisa mtandaoni utagoogle mpaka uzeeke (mafile yaliyopo mtandaoni yote feki hayafanyi kazi) na nimadogo hayana vitu vyote nakumbka moja lina 408MB na jingine 301MB but file lake original lina 3.49GB tena nlivo maliza kuiflash nika iunlock network
Noo iyo ni scatter file na nmeflash kwa spflashtoolsI have got a working Bin file
solution ipo mim nili iformat kwa miracle box crack nlipo kua najaribu kutoa FRP lock ika stuck nilihangaika nayo zaid ya mwezi mzima hadi nikaja kupata file nika iflash mara moja tu ikawaka na file la hi vfd 301 halipo kabisa mtandaoni utagoogle mpaka uzeeke (mafile yaliyopo mtandaoni yote feki hayafanyi kazi) na nimadogo hayana vitu vyote nakumbka moja lina 408MB na jingine 301MB but file lake original lina 3.49GB tena nlivo maliza kuiflash nika iunlock network
ucku wa leo ntakupa link ya file ambayo ni backup nimefanya mwenyewe na nmeupload on some site... kuwa mvumilivu kidogoplease naomba unitumie link ya hii file la vfd 301, nami nimeingia mkenge nimetumia file hz 2, -1- 408mb na -2- 301mb, simu inafungua logo ya vodafone lknmuda wote ina-load tu ktk duara la kuload yaani ni shida man! pls nisaidie tafadhari!
ucku wa leo ntakupa link ya file ambayo ni backup nimefanya mwenyewe na nmeupload on some site... kuwa mvumilivu kidogo
sawa mzeeHELLO NDUGU! ASANTE KWA KUONYESHA MOYO WA KUNISAIDIA NA PIA KUWA TAYARI KUTOA MSAADA, SAMAHANI LKN, WAKATI NASUBIRI MAJIBU NILIKOMAA KUENDELEA KULITAFUTA HATIMAYE NILILIPATA HIVYO NIKA-FLASH SIMU NIKO HEWANI ASANTE SANA KWA KUNIJALI, ILA BADO NATAFUTA FLASH FILE TA TIGO: Y3_PLUS-H721A2-KK-TZTG-LC-161010V2, PLEASE KAMA KUNA MTU ANALO. NAOMBA MSAADA!
Nenda google andika vfd 301 firmware needrom utaipata mkuuwakuu mwenye link ya hyo firewere ya vodafone 301 naomba anitumie na mm sim yang inaishia kwenye logo
Au ingia gsmtanzania.com na u search utapata no LA uhakika zaidiwakuu mwenye link ya hyo firewere ya vodafone 301 naomba anitumie na mm sim yang inaishia kwenye logo
MTK6580 VODAFONE VFD301 TESTED FIRMWARE - GSMTANZANIA.COMwakuu mwenye link ya hyo firewere ya vodafone 301 naomba anitumie na mm sim yang inaishia kwenye logo
guys naomba mwenye scatter file/rom ya vodafone vfd 301 au kama unayo backup yake plzz..
wakuu mwenye link ya hyo firewere ya vodafone 301 naomba anitumie na mm sim yang inaishia kwenye logo