Tafuta simu kama hiyo isiyo na tatizo ufanye backup mwenyewe, baada ya hapo flash userdata na cache pekee.
Si kweli mkuu file lipo Google na lipo vzur japo yapo mengi kwani yalishanitokea matatzo kama yako na niliangaika sana ila nikaja kulipatia Nedrom na lina mb zisizozidi 900 ila uki extract baada ya kudownload ndio unapata zaid ya GB 3solution ipo mim nili iformat kwa miracle box crack nlipo kua najaribu kutoa FRP lock ika stuck nilihangaika nayo zaid ya mwezi mzima hadi nikaja kupata file nika iflash mara moja tu ikawaka na file la hi vfd 301 halipo kabisa mtandaoni utagoogle mpaka uzeeke (mafile yaliyopo mtandaoni yote feki hayafanyi kazi) na nimadogo hayana vitu vyote nakumbka moja lina 408MB na jingine 301MB but file lake original lina 3.49GB tena nlivo maliza kuiflash nika iunlock network
Si kweli mkuu file lipo Google na lipo vzur japo yapo mengi kwani yalishanitokea matatzo kama yako na niliangaika sana ila nikaja kulipatia Nedrom na lina mb zisizozidi 900 ila uki extract baada ya kudownload ndio unapata zaid ya GB 3
Download Lipo ila km umei format kwa software haiponi hakuna solution kwasasa
Si kweli mkuu file lipo Google na lipo vzur japo yapo mengi kwani yalishanitokea matatzo kama yako na niliangaika sana ila nikaja kulipatia Nedrom na lina mb zisizozidi 900 ila uki extract baada ya kudownload ndio unapata zaid ya GB 3
yapo bana ngoja niangalie km naweza kukutumiam
mkuu lililopo needrom ni la vfd 300 na co vfd 301
nitumie link kwenye pmsolution ipo mim nili iformat kwa miracle box crack nlipo kua najaribu kutoa FRP lock ika stuck nilihangaika nayo zaid ya mwezi mzima hadi nikaja kupata file nika iflash mara moja tu ikawaka na file la hi vfd 301 halipo kabisa mtandaoni utagoogle mpaka uzeeke (mafile yaliyopo mtandaoni yote feki hayafanyi kazi) na nimadogo hayana vitu vyote nakumbka moja lina 408MB na jingine 301MB but file lake original lina 3.49GB tena nlivo maliza kuiflash nika iunlock network
Ulitumia tool gani ku read hio firmware mkuu?solution ipo mim nili iformat kwa miracle box crack nlipo kua najaribu kutoa FRP lock ika stuck nilihangaika nayo zaid ya mwezi mzima hadi nikaja kupata file nika iflash mara moja tu ikawaka na file la hi vfd 301 halipo kabisa mtandaoni utagoogle mpaka uzeeke (mafile yaliyopo mtandaoni yote feki hayafanyi kazi) na nimadogo hayana vitu vyote nakumbka moja lina 408MB na jingine 301MB but file lake original lina 3.49GB tena nlivo maliza kuiflash nika iunlock network
Ulitumia tool gani ku read hio firmware mkuu?
nitumie na mimi link pm mkuunitumie link kwenye pm
kwaajili ya file lipinitumie na mimi link pm mkuu
hivi unaweza ukaforce scatter file ya simu nyingine kwenye simu tofautikwaajili ya file lipi
Ni Lazima uwe na Backup file ya hiyo simu ili ikizingua unarudishia pia ikiwaka plain utawasha na hilo file kwa ku untick userdata na Cachehivi unaweza ukaforce scatter file ya simu nyingine kwenye simu tofauti
maana hapa nina tablet ya Kichina imeroga, afu nimewinda rom yake hadi nimechoka
i have nothing to lose maana yenyewe kuwaka hata logo tu haioneshiNi Lazima uwe na Backup file ya hiyo simu ili ikizingua unarudishia pia ikiwaka plain utawasha na hilo file kwa ku untick userdata na Cache
Copy File,Zile Details za file ndizo zitakusaidia kupata files hasa kwenye cpu type unaweza download file lenye mtk6572 kumbe ni mtk6577 ama mt6582 Bora Tusaidiane huku Tukiongea Ya Lissu wanataka kutuziba Midomoi have nothing to lose maana yenyewe kuwaka hata logo tu haioneshi
kama una link ya file la tablet ya Kichina nisogezee
tablet yenyewe inaitwa *scientia 3g tablet*
Copy File,Zile Details za file ndizo zitakusaidia kupata files hasa kwenye cpu type unaweza download file lenye mtk6572 kumbe ni mtk6577 ama mt6582 Bora Tusaidie huku Tukiongea Ya Lissu wanataka kutuziba Midomo
Aah! Aiseeh, Kwa NCK sidhan boss, ukiread kwa NCK inaleta error ya wrong preloader au Avenger maana ni tool ya NCK pia so ziko sawa kiutendaji kazi, au ww uwa unafanyaje mpaka na preloader iwe included??hiv badoga huka pata solution boss?
natumia android mtk tool(NCK Tool) au miracle cracked android droid tools au Avengers cracked boss.
but uki read na moracle file linakuja (.bin) file so huwez ku fashia na profram kMa sp tool had uli change kuwa scatter.
Aah! Aiseeh, Kwa NCK sidhan boss, ukiread kwa NCK inaleta error ya wrong preloader au Avenger maana ni tool ya NCK pia so ziko sawa kiutendaji kazi, au ww uwa unafanyaje mpaka na preloader iwe included??
Kaka Haji hata izi vdf 301 uki dump kwa NCK crack inamiss preloader, nmekwisha kujaribu sana but nothing, ila miracle ndio inaweza ku dump kwa jino moja/bin file na likafanya kazi....kwa cmu kama vfd301 kama ckosei cpu yake ni mt6580 kwahyo kwa nck unaweza uka dump firmware vema bila shida, utamiss preloader kama utafanya backup ya latest cpu hasahasa zile za mt67....
register account www.simuyangu.co.tz utapata linkguys naomba mwenye scatter file/rom ya vodafone vfd 301 au kama unayo backup yake plzz..