Msaada wa scanner au photocopy ya A1 Morogoro

Msaada wa scanner au photocopy ya A1 Morogoro

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
17,285
Reaction score
23,584
Tafadhali naomba kufahamu kama naweza kupata scanner au photocopier ya karatasi kubwa yenye upana kama wa mita 1 hivi yaani A1 katika mji wa Morogoro.

Thanks
 
Kuna duka jipya maeneo ya barabara ya kuelekea polisi jaribu kuulizia hapo
 
Umejaribu Fatemi, karibu na exim bank, Zainabs Omega, opposite na Agakhan hospital
 
Morogoro hapo kama unaelekea Masika ukitokea roundabout ya mjini kuna maduka ya Appliances mbalimbali jaribu kupita hapo
 
Shukrani kwa msaada, lakini siyo kwa ajili ya kununua bali kutoa copy au kuscan tu. Thanks
 
Tafadhali naomba kufahamu kama naweza kupata scanner au photocopier ya karatasi kubwa yenye upana kama wa mita 1 hivi yaani A1 katika mji wa Morogoro.

Thanks
Huo mji hauna hiyo kitu, njoo dar fasta hapo utapoteza muda kuzurura madukani fikiria hata A2 paper size huduma hiyo stationary hakuna<br /><br />Fika University road, Joana digital printing stastionary iko karibu na survey junction ya brajeck, pale bulls pub ukimaliza tu mlimani city villa
 
Back
Top Bottom