msaada wa Samsung wave 2

msaada wa Samsung wave 2

John G. Jonas

Member
Joined
Feb 27, 2012
Posts
64
Reaction score
15
Habari wana JF,samahani naomba msaada juu ya wapi naweza pata MIC ya samsung wave 2 pamoja na kubadilisha screen yk na gharama zake,ahsanten
 
Samsung wave 2 ------S85001 lcd +digitizer $190

Samsung wave 2 ------S8530 LDC +digitizer $100

Ya kwako ni yipi?
 
hio ni bei ya kioo?

wave 2 8500 $(KGrHqF,!qEFHgH5BFepBR785UD-qw~~60_35.jpeg

lcd = kioo
digitiser=touch electronics
when i work on ipads,iphones galaxytabs notes etc ...i usually replace both
coz am not that smart to machine solder lcd to digitiser and probably screw up the phone.Unless ofcourse I have a grudge with phone owner!
;-)
.....arkward...moment...vaporis3d!
 
Screen/Touch mpya - 120,000/- + Fundi 10,000/- + 5,000/- ya kuoneshwa duka.
Kama unatokea Msimbazi unaifata round about pale kariakoo, mapema kabla hujaifikia round about mkono wako wa kushoto kua duka linauza simu za samsung nyingi kuliko za kichina. Limapigwa machata ya samsung na liko kama samsung dealer hivi. Ukiingia ndani kuna jamaa kama mlevimlevi/mlinzi hivi ni muhusika pia dukani hapo, mwoneshe simu yako na nenda naye dukani wanapouza screen za aina unayohitaji. Utahitajika kwenda kwa fundi kabla ya kununua screen so mckilize kwa makini but usimbishie sana. Fundi ataifungua simu yako na atakupa mother board tu ambayo utaenda nayo dukani, nunua screen then rudi kwa fundi akufungie.
 
Thanx bro ntafanya hvo
 
Back
Top Bottom