PACHOTO
JF-Expert Member
- Dec 30, 2011
- 1,321
- 970
mkuu ni kitu cha uhakika?
Mbona kuna wengine wananikatisha tamaa wanasema hiyo huduma siku hizi imesitishwa?
Hakuna malipo yoyote yanayo hitajika?
ndugu yangu hilo jambo nina uhakika muhimu uijue cheque number yako, mi mwenyewe nishawahi kwenda kuchukua hakuna shida yeyote na huduma hii ni bureeee