Temporary01
JF-Expert Member
- May 12, 2011
- 260
- 70
Habari za Muda wadau.
Mimi ni muajiriwa wa serkali na niko wilaya moja kanda ya kaskazini.
Nimeajiriwa muda kidogo ila tatizo nimekuwa sipati salary slip kama wenzangu tuloajiriwa nao.
Nimejaribu kufuatilia makoani kwetu kwenye idara yangu wanasema salary slip zangu hazijaja,
nimejaribu kuuulizia mpaka wazarani lakini sikupata majibu ya kuridhisha.
Naomba kujuzwa kama kuna namna yoyote naweza kuzifuatilia hazina kwani nimesikia kuwa hilo jambo lawezekana.
Pia, Naomba kujua viambatanisho navyopaswa kuwanavyo na kama kuna malipo yoyote ili nijiandae kabla sijafunga safari.
Natanguliza shukrani.