Msaada wa salary slip

Temporary01

JF-Expert Member
May 12, 2011
260
70
Habari za Muda wadau.

Mimi ni muajiriwa wa serkali na niko wilaya moja kanda ya kaskazini.
Nimeajiriwa muda kidogo ila tatizo nimekuwa sipati salary slip kama wenzangu tuloajiriwa nao.
Nimejaribu kufuatilia makoani kwetu kwenye idara yangu wanasema salary slip zangu hazijaja,
nimejaribu kuuulizia mpaka wazarani lakini sikupata majibu ya kuridhisha.

Naomba kujuzwa kama kuna namna yoyote naweza kuzifuatilia hazina kwani nimesikia kuwa hilo jambo lawezekana.
Pia, Naomba kujua viambatanisho navyopaswa kuwanavyo na kama kuna malipo yoyote ili nijiandae kabla sijafunga safari.
Natanguliza shukrani.
 
Mshahara hupati?...kama unapata mshahara haina maneno...au unataka kuchukua mkopo?...kwangu mm kama mshahara wangu naukuta kwenye akaunti uko kamili kulingana na daraja langu la mshahara,,hakuna shida, unless otherwise nataka kuukopea mshahara wng...ni hayo tu....ngoja tuwasikie na wengine wanasemaje kumbuka maneno yangu siyo sheria.
 
a slip of paper included with a person's salary payment, that records how much money the person has earned and how much deductions are there i.e. tax or p.a.y.e, pensions, loan, etc. has been taken out!

asante mkuu umenisaidia.
Mshahara napata ila kuna malipo wanayonipunja.
Siwezi kufuatilia bila kuwa nazo. Pia ninampango wa kuchukua mkopo japo baadae.
 
asante mkuu umenisaidia.
Mshahara napata ila kuna malipo wanayonipunja.
Siwezi kufuatilia bila kuwa nazo. Pia ninampango wa kuchukua mkopo japo baadae.

nenda wizara ya fedha/hazina dsm kitengo cha mishahara ya watumishi ukiwa na cheque number yako pamoja na kitambulisho chako ni kazi ya less than 5 minutes
 
nenda wizara ya fedha/hazina dsm kitengo cha mishahara ya watumishi ukiwa na cheque number yako pamoja na kitambulisho chako ni kazi ya less than 5 minutes

mkuu ni kitu cha uhakika?
Mbona kuna wengine wananikatisha tamaa wanasema hiyo huduma siku hizi imesitishwa?
Hakuna malipo yoyote yanayo hitajika?
 
nenda idara ya uhasibu kitengo cha mishahara makao makuu ya wizara yako, onyesha check no na jina lako utasaidiwa
 
nenda idara ya uhasibu kitengo cha mishahara makao makuu ya wizara yako, onyesha check no na jina lako utasaidiwa

mkuu nimejaribu kuwasiliana nao mara kadhaa ila hawajanisaidia.
Kuna urasimu mwingi sana hapo wizarani.
 
idara ya fedha mshahala ukija unakuja na kitu kinaitwa Control sheet ambayo inafanana kabisa na salary slip nenda idara ya fedha wakutolee copy uitumie kama salary slip
 
idara ya fedha mshahala ukija unakuja na kitu kinaitwa payslip ambayo inafanana kabisa na salary slip nenda idara ya fedha wakutolee copy uitumie kama salary slip

shukran mkuu, jee hiyo pay slip unaweza kuchukulia mkopo?
 
Mambo yamerahisishwa sana, huna haja ya kusafiri kwenda Wizarani, nenda HR Office mahali unakofanyia kazi na ataprint salary slip kutoka kwenye mfumo unaoitwa LAWSON!
 
Mshahara hupati?...kama unapata mshahara haina maneno...au unataka kuchukua mkopo?...kwangu mm kama mshahara wangu naukuta kwenye akaunti uko kamili kulingana na daraja langu la mshahara,,hakuna shida, unless otherwise nataka kuukopea mshahara wng...ni hayo tu....ngoja tuwasikie na wengine wanasemaje kumbuka maneno yangu siyo sheria.

kaka hiyo kitu ni muhimu kuliko hata huo mshahara unaoupata
 
qkumbavu. wenzio wakisha chukua salary slip zako tatu zinazofuatana wanachukua mkopo kwa jina lako halafu wewe unakatwa mshahara. kalagabaho jitu la mkoa
 
Mambo yamerahisishwa sana, huna haja ya kusafiri kwenda Wizarani, nenda HR Office mahali unakofanyia kazi na ataprint salary slip kutoka kwenye mfumo unaoitwa LAWSON!

mkuu ofisi zetu za mkoani hawana hiyo kitu. Wao wamenambia huwa wanatumiwa kutoka wizarani dar, na ktk walizotumiwa yangu haipo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom