Wadau naomba kama kuna mdau ana software ya kudizaini paa la nyumba katika 3D format, naomba anisaidie tafadhari!!
Nataka software ambayo ni rahisi kutumia, isiyohitaji degree ya architecture au civil.
Nataka ku-design roof ya nyumba yangu
Angalia software inaitwa sketchup by Google. Ipo free version na ya kulipia pia lakini yote unayohitaji yanaweza kufanyika na hiyo ya free... Video kibao youtube zipo...
All the best.
Nitakufanyia hiyo huduma bure kaka! Ni PM!
Asante dogo. Nimepakuwa sketchup by google setup. Nimepakuwa na video tutorial 1-4, nimejifunza na nimeweza kudizaini paa la pande mbili. Paa ninalohitaji mie ni la vipaa vingi vingi, so, maisha yanakuwa magumi kidogo. Bado naendelea kujifunza, nikiwini ntakutel. Naziweka video na setup yake hapa kwa faida ya wengine:
Paa ninalotaka ni hili hapa chini.
View attachment 57688
View attachment 57689

Mkuu naweza pakua hizo ramani na nizitumie baadae, au mpaka nikulipe????
Mkuu naweza pakua hizo ramani na nizitumie baadae, au mpaka nikulipe????
Ni vizuri ukapata kitu kizuri kutoka kwa mtaalamu kutokana na mahitaji yako na ramani ikaendana sambamba na ukubwa wa kiwacho chako na changamoto nyingine!!
nahifadhi kwa future reference.