msaada wa roofing design | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada wa roofing design

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Baba Mtu, Jun 13, 2012.

 1. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #1
  Jun 13, 2012
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Wadau naomba kama kuna mdau ana software ya kudizaini paa la nyumba katika 3D format, naomba anisaidie tafadhari!!
  Nataka software ambayo ni rahisi kutumia, isiyohitaji degree ya architecture au civil.

   
 2. I-NGOSHA

  I-NGOSHA JF-Expert Member

  #2
  Jun 15, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 216
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 45
  Unataka ku design roof ya nyumba yako au au unataka ndo iwe shughuli yako?
   
 3. I-NGOSHA

  I-NGOSHA JF-Expert Member

  #3
  Jun 15, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 216
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 45
  Unataka ku design roof ya nyumba yako au au unataka ndo iwe shughuli yako?
   
 4. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #4
  Jun 19, 2012
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Nataka ku-design roof ya nyumba yangu
   
 5. k

  kotinkarwak JF-Expert Member

  #5
  Jun 19, 2012
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Angalia software inaitwa sketchup by Google. Ipo free version na ya kulipia pia lakini yote unayohitaji yanaweza kufanyika na hiyo ya free... Video kibao youtube zipo...

  All the best.
   
 6. I-NGOSHA

  I-NGOSHA JF-Expert Member

  #6
  Jun 20, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 216
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 45
  Nitakufanyia hiyo huduma bure kaka! Ni PM!
   
 7. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #7
  Jun 29, 2012
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Asante dogo. Nimepakuwa sketchup by google setup. Nimepakuwa na video tutorial 1-4, nimejifunza na nimeweza kudizaini paa la pande mbili. Paa ninalohitaji mie ni la vipaa vingi vingi, so, maisha yanakuwa magumi kidogo. Bado naendelea kujifunza, nikiwini ntakutel. Naziweka video na setup yake hapa kwa faida ya wengine:


  Paa ninalotaka ni hili hapa chini.

  View attachment RAMANI-GROUND VIEW.pdf

  View attachment MUONEKANO WA CHINI.pdf
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. I-NGOSHA

  I-NGOSHA JF-Expert Member

  #8
  Jun 29, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 216
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 45
  Hiyo roof yako haipo sahii kaka kwa jinsi inavyoungana baadhi ya sehemu na jinsi itavyomwaga maji.

  Nimeto pendekezo la roof yako ambayo inaweza kukidhi mahitaji yako, iangalie!
   

  Attached Files:

  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #9
  Jun 29, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mkuu naweza pakua hizo ramani na nizitumie baadae, au mpaka nikulipe????
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. Mawaiba

  Mawaiba JF-Expert Member

  #10
  Jun 29, 2012
  Joined: Dec 11, 2011
  Messages: 420
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Asanteni...
   
 11. F2S

  F2S JF-Expert Member

  #11
  Jun 29, 2012
  Joined: Feb 16, 2008
  Messages: 216
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kauza haki miliki bila kujua au akijua. Ngoja aliyekuchorea aikute online. Ila nimeipenda watoto na baba kuonana mpaka ratiba ipangwe.


   
 12. I-NGOSHA

  I-NGOSHA JF-Expert Member

  #12
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 216
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 45
  Ni vizuri ukapata kitu kizuri kutoka kwa mtaalamu kutokana na mahitaji yako na ramani ikaendana sambamba na ukubwa wa kiwacho chako na changamoto nyingine!!
   
 13. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #13
  Jun 30, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Nahifadhi kwa future reference.
   
 14. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #14
  Jun 30, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,724
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Very educative!
   
 15. I-NGOSHA

  I-NGOSHA JF-Expert Member

  #15
  Jul 1, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 216
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 45
  kama ni hivyo, basi heri!!
   
Loading...