Msaada wa Ramani ya Nyumba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa Ramani ya Nyumba

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by kabila01, May 10, 2011.

 1. kabila01

  kabila01 JF-Expert Member

  #1
  May 10, 2011
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 3,013
  Likes Received: 1,826
  Trophy Points: 280
  Kabla ya kupata ramani ya nyumba ningeomba kupata msaada wa kuangalia picha za nyumba mbalimbali ili niweze kuona mjengo wa nyumba ambao unavutia zaidi ndipo nimpelekee Archtecture kwa ajili ya uchoraji wa Ramani. Kama naweza kupata msaada wa web ambayo ina picha za mijengo mbalimbali ntashukuru sana wana JF
   
 2. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #2
  May 10, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Use search engine kama vile google, yahoo, Bing.
   
 3. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #3
  May 10, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,230
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280
  Mkuu toa requirement zako usanifiwe jengo lako mwenyewe achana na habari za kudurufu mawazo ya watu!...km uko serious unaweza kuni pm nikuoneshe wazawa tuna uwezo as well! I am Architect by Profession
   
Loading...