Msaada wa PUK za line ya Tigo

Msaada wa PUK za line ya Tigo

G_crisis

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2011
Posts
723
Reaction score
256
Salaam Wakuu,
line yangu ya tigo imeblock na nikiwapigia customer care wanazingua, naomba kama kuna njia mbadala wa kuipata.
Thanks in advance!
 
Salaam Wakuu,
line yangu ya tigo imeblock na nikiwapigia customer care wanazingua, naomba kama kuna njia mbadala wa kuipata.
Thanks in advance!
Kaka hawa watu wa mitandao ovyo kabisa maana hata mimi ninatatizo la line yangu ya zantel kugoma kuconnect net Nimewafuata pale msasani wameniambia eti niende na laptop ,modem na simu ninayotumia nikabaki hoi.
Sasa line yao nimeitupilia mbal maana ni papuuzi wale
 
Salaam Wakuu,
line yangu ya tigo imeblock na nikiwapigia customer care wanazingua, naomba kama kuna njia mbadala wa kuipata.
Thanks in advance!

Hamna jinsi nyingine,unavyoweza kuifungua,zaidi ya kuwapigia tu,kama upo karibu na ofic zao ungekwenda tu,kwani kuwapigia huwa wana kuweka pending hadi simu inakatika.
 
Back
Top Bottom