Msaada wa power point pleaseee

Fringe

Senior Member
Jul 5, 2011
178
90
habari WANA jamvi,nimeinstalll microsoft office vizuri kabisa,na ina kila kitu ikiwemo power point program,lakini kila nikijaribu kufungua mafile yaliyopo ktk format ya ppt ina kataa kabisa,ingawa nikitaka kuandika power point inawezekana.nimeshindwa kuelewa nifanyaje.
natumia window 7 ultimate incase inahitajika kufahamika
 
Microsoft office ni version gani?2003 or 2007?na hizo ppt filez zinazogoma kufunguka ni za version gani?
 
Apo unatumia old version ya pp kufungu filez za latest/new version pp.
 
habari WANA jamvi,nimeinstalll microsoft office vizuri kabisa,na ina kila kitu ikiwemo power point program,lakini kila nikijaribu kufungua mafile yaliyopo ktk format ya ppt ina kataa kabisa,ingawa nikitaka kuandika power point inawezekana.nimeshindwa kuelewa nifanyaje.
natumia window 7 ultimate incase inahitajika kufahamika
Unapofungua unapata meseji gani ili iwe rahisi kukupatia ufumbuzi.... na je umejaribu kufungulia kwenye computer ya mru mwingine bado hayafunguki?
 
Pia na mimi nina tatizo ktk power point.Nataka ku export kazi yangu na kuibadilisha iwe any video format.K.vile avi.,mpeg nk. nisaidieni
 
kuna software inaweza kuconvert ppt file to flash video.... inaitwa ispring
 
Back
Top Bottom