Msaada wa Postgraduate Diploma katika Recategorization

mteule senior

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
281
192
Poleni na majukumu wakuu.Mungu ni mwema kila wakati.

Kwa wale walio kazini nafikiri watakuwa wanajua kuwa, mtu aliyesoma degree tofauti kwa mfano ktk Elimu anaweza akafanya Postgraduate diploma in Education na akaajiriwa kama mwalimu sawa na yule mwenye Bachelor of Education.

Sasa kwa mfano, mwajiriwa alisomea degree tofauti na Computer Science kwa mfano, na akafanya Postgraduate Diploma in Computer Science. Je, anaweza kufanyiwa recategorization na kutambuliwa sawa na yule aliyekuwa na Bachelor ya field husika? Maana nasikia kwa upande wa masters tofauti na degree ya kwanza haiwezekani.

Naombeni uzoefu wenu kwa wanaojua suala hil
 
Kwanini computer science

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hapana, AFAIK.
 
Bongo bhana inawaza ubaguzi na ubinafsi hadi kwenye Maarifa ya mtu, hivi unajitambua mwenyewe au unatambuliwa ? Ndio maana Africa haiendelei kwa selfish kama hizi za kijinga,
 
Sina uhakika na maeneo mengine, lakini katika ngazi ya halmashauri huwa wanazingatia certificate, diploma na first degree. Postgraduate qualification ya kwenye field tofauti haiwezi kutumika kukuajiri wala kufanya recategorization.

Kama una nia ya kuhama field kubali kusoma first degree katika hiyo field mpya.
 
Siku hizi hata hizo postgraduate diploma in education pia zimekuwa na shida kwenye kuajiriwa.
 
Sina uhakika na maeneo mengine, lakini katika ngazi ya halmashauri huwa wanazingatia certificate, diploma na first degree. Postgraduate qualification ya kwenye field tofauti haiwezi kutumika kukuajiri wala kufanya recategorization.

Kama una nia ya kuhama field kubali kusoma first degree katika hiyo field mpya.
Kwa hiyo ile dhana ya kwamba post graduate diploma ni equivalent na bachelor degree haiingii hapo sio?
 
Back
Top Bottom