faabroz
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 286
- 69
naombeni msaada nilikuwa natumia browser operamini kwenye simu ya huawei G610, lakini iligoma theni ikatoka, naomba mwenye kunipa link niweze kuipata niendlee kupata habari,
au kama kuna Google play kwenye simu za android au bwoser itakayofanya kaz kama opera mini,
natanguliza shukrani
au kama kuna Google play kwenye simu za android au bwoser itakayofanya kaz kama opera mini,
natanguliza shukrani