Cologero
Senior Member
- Oct 14, 2015
- 101
- 86
Huelewi unacho kiongea ww una bwabwa tuuu hivi ww ni mtanzania kwel unasema watu hawalali njee huku Tanzania???? Tuna unaongea bila hofu kwa taarifa yko huku watu wanalala nje tena mamia kwa mamia alafu wapo ambao hawana chakula wakila mara moja kwa siku wana shkur mungu na wapi mamilion ya vijana ambao wan elimu na taaluma nzur kabisa na hawana kazi wanasubiria miujiza vijana wengi wamekata tamaa na nchi yao wanataman wakawe watumwa nnchi za ughaibuni wapi tena mamilion kwa mamilion labda kama ww unaisha masaki ndo utakua mgeni wa hichi ninacho kizungumza.Africa hta siku moja huwezi kulala nje kwa kukosa sehemu ya kulala, chakula utapewa na watu hta usiowajua unlike na ulaya watu wabinafsi wa kiwango cha kutisha ....na labda nikwambie ulaya ya sa iv hta kupata kazi za kusafisha vyoo km huna permit ni ishu na ni kawaida ulaya kukuta mhamiaji ana phd anafanya kazi za kusafisha vyoo. Anyway nikijibu swali lako ulaya kuna mateso kuliko africa hasa kwa nchi km Tanzania ambayo ina amani
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kwa taarifa yko vijana wengi wanaotaka kwenda Europe hawana ndoto zakua mabilionea kama mengi na kina dewji shida yao ni kwenda kule kufanya kaz kwa juhud usiku na mchana watakacho hicho kidogo cha kule ambacho huku shithole country ni kingi wawekeze hapa nyumban na wasaidie ndugu zao kuji kwamua na huu umaskin. They don't want to be rich they just want to be successful. Hata wazungu wange kua na mawazo yako mgondo haya yakubakia ulipo zaliwa wasinge kuja huku Africa kwa ngalawa na kuchukua rasilimali zetu acha mawazo mgondo maisha mazuri yanafwatwa haya subiriwi na wao wanajua kule kuna neema ndo maana kuingia ni shida lakin watu kutoka west Africa wana saidiana ndo maana wapo wengi na nchi zao zimeendelea ukilinganisha na hapa kwetu.
Sent using Jamii Forums mobile app