Msaada wa nyuzi za kwenda Ulaya?

Msaada wa nyuzi za kwenda Ulaya?

Mkuu tabu yote ya nn si utulie tu nyumbani ujipange utatusua!! Hii ni bora kuliko kwenda ulaya wakutreat km mbwa wakati nyumbani umeacha neema kibao!!
 
Bro mimi napenda kuwa mkweli. Sasa hivi kuingia ulaya ni ngumu. Na hata kama utaingia kuwekwa kwenye system uwe na social security number ni ngumu.

Immigration policy wametighten. Juzi wamemrudisha dada wakitanzania alikija kwa mualiko akaenda kuomba asylum hifadhi ya ukimbizi haikuchukua hata wiki tatu.

Ila usikate tamaa. Njia nzuri ya kuja huku ni shule ama umepata mwanamke ukafunga ndoa.

Sasa ukija hapa huna papers utaishije?

Jana tu nimekutana na wanigeria wanaresidence ya Italy yani wanashida balaa. Fikiria wana residence permit ya Italy lakini hawaruhusiwi kukaa hapa zaidi ya miezi mitatu na hawez kufanya kazi je wewe mbongo?

Waliniambia walikuwa Uswiz wakafukuzwa faster.

Mimi ni mkweli ulaya bila social security number ni jehsnam
Aisee tabu zote za nn mkuu? Maisha wanayoishi hao wanigeria utadhani africa ni jehanamu!
 
Ndugu zangu mimi niko ulaya tokea february na nilikuja huku kwa stika ya kualikwa,ila nilipofika nikajipiga,kimsingi asilimia kubwa ya wakujiripua hapa wanakuja kusoma au mualiko,sikatai kutokana na maelezo ya mmojawetu humu kuna mdada karudisha alipoomba hifadhi ila kimsingi ili mtu urudishwe inategemea una kesi ya aina gani mkononi,kesi yako uliipangaje,ulijiandaa au ulikurupuka tu,Kama umejiandaa hurudishwi ulaya,
Nikweli kupata permit nikazi sio lelemama,ila ukiwa na subra zinapatikana na huku nilipo mimi nina mifano hai kibao,
hapa mimi naona wivu wakenya kibao ila watz ni wachache mno,natamani tuongezeke,nchi niliopo hata interpreter wa kiswahili analetwa mkenya au mhindi inauma sana,watanzania tuko nyuma mno,
sijapata kuona interpreter mtz,fursa wanachukua wengine,mwenye kuweza kuja aje tu,tena muje kwa wingi,Uongo sikazi kweli ulaya sio kama zamani ila si sawa na tz,
Hapo mwisho!!kuna ukweli wowote ktk hilo au ndyo umekariri?
 
Mkuu tabu yote ya nn si utulie tu nyumbani ujipange utatusua!! Hii ni bora kuliko kwenda ulaya wakutreat km mbwa wakati nyumbani umeacha neema kibao!!
Mkuu kiukweli nia yangu ni kuangalia fursa katika upande mwingnine wa dunia na kulainisha njia kwa wanaofata katika familia endapo watahitaji kutaftuta life nje
 
Mkuu tabu yote ya nn si utulie tu nyumbani ujipange utatusua!! Hii ni bora kuliko kwenda ulaya wakutreat km mbwa wakati nyumbani umeacha neema kibao!!
😁😁😁mkuu af nimesikia sio mda Zambia inakuw koloni la mchina....ni bora kukimbia mapema kabla zam ya Tanz kufika🏃🏃
 
Vipi lakini life la dernmark?hakuna ubaguzi sana kwa blacks??
"mkuu apanilipo nipo kajunjumele nimebaguliwa na ngwimba moja iv et mm mweusi san"....sikuizi ubaguz upo SA tena co mkaburu yeye katulia ila blacs kwa blacks ngafu ndupu""
 
Ukiwaona waafrika wenye residence permit ya Italy, Spain, Greece na Malta utawaonea huruma. Wanalala train station.

Huyu Angela Merkel ndiyo katili na mnafiki kabisa. Aliwadanga umma eti kaachia milango wazi lufthansa imepata tender kila siku ya kurudisha watu. Asylum cases zote zonakuwa rejected. Kila siku mawaziri wa EU wa foreign affairs wanakutana na issue moja tu Immigration. Far right parties wanapata kura na umaarufu kwa sera zao za tough immigration policy. Italy tayari Salvin kachukua norway denmark hao toka zamani tait na wanazidisha kubana. Sasa hivi napo sweden hivo hivo.
sasa kama hao wana residence permit ya Italy spain na hata malta wanateseka na sisis huku Tulio Africa tufanyeje?????
lamuhimu tuelekeze na sisi tuzipateje hizo residence permit ili tuka lale wote Train station.
Acha ubinafsi mkuu.
 
Wabongo wa majuu hamna upendo mnaji gawa. Mtu anakwambiia Europe hamna maisha lakin yeye yupo hukohuko harudi utazan hapa Bongo kaua kma huko dunia ya kwanza maisha magumu rudi nyumbani kwenye unafuu.

Mnasema kuingia shida alafu baadae mnageuka maisha magumu na hii ndio sababu ya watanzania tupo wachache sna nchi za dunia ya kwanza ukilinganisha hata na jirani zetu Kenya. Acheni ubinafsi na uongo Europe maisha yana nafuu ukilinganisha nahapa kwetu ndomaana hata kwenda kwake kuna changamoto kidogo.
 
Hawakudanganyi maisha ulaya ni magumu si mchezo ......km huamini nenda ukashuhudie mwenyewe jinsi watu wanavyoteseka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawakudanganyi maisha ulaya ni magumu si mchezo ......km huamini nenda ukashuhudie mwenyewe jinsi watu wanavyoteseka

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo Ulaya wanateseka kuliko Africa???? Ingekua maisha magum kiasi hicho watu wasinge ng'ang'ania kwenda huko, wasinge zamia meli kitu ambacho ni hatar zaidi watu sio wapumbavu wa risk maisha yao alafu waende kuteseka kuliko wanapo paacha ambapo kuna jamaa na ndugu zao. Usikubali kulishwa maneno na watu wabinafsi kama nimateso mbona hawarudi kuna wa Africa wengi wanasema maisha ulaya yapo kaz zipo hata kama ni unprofessional jobs zipo zaku mwaga ulaya maisha magumu ukichagua kaz au kama hutaki kazu lazima uyaone maisha magumuuu.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Usichokijua ni kuwa hao watu wanaozamia meli kwenda ulaya wana mawazo km yako ya kuamini ulaya ni nchi za asali na maziwa .....ila kimbembe wanakutana nacho wakishafika ulaya ni mwendo wa mchakamchaka mpaka wanaomba poh!

Ulaya ni nzuri km utakuwa umeenda shule na kusoma valuable course ambayo ina mahitaji makubwa vinginevyo ni mateso mpaka basi

Mateso yapo kwa wasio taka wala kufanya kaz.
Swali je ulaya kuna mateso kuliko Africa???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mateso yapo kwa wasio taka wala kufanya kaz.
Swali je ulaya kuna mateso kuliko Africa???

Sent using Jamii Forums mobile app
Africa hta siku moja huwezi kulala nje kwa kukosa sehemu ya kulala, chakula utapewa na watu hta usiowajua unlike na ulaya watu wabinafsi wa kiwango cha kutisha ....na labda nikwambie ulaya ya sa iv hta kupata kazi za kusafisha vyoo km huna permit ni ishu na ni kawaida ulaya kukuta mhamiaji ana phd anafanya kazi za kusafisha vyoo. Anyway nikijibu swali lako ulaya kuna mateso kuliko africa hasa kwa nchi km Tanzania ambayo ina amani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom