Msaada wa notes za kufundishia kuanzia primary mpaka advance level

Msaada wa notes za kufundishia kuanzia primary mpaka advance level

HAFIDH ALEY

Member
Joined
May 17, 2018
Posts
9
Reaction score
3
Wakuu naomba kama kuna mwalimu yeyote au mtu yeyote mwenye notes za masomo yote kuanzia ngazi ya primary hadi advanced level zilizo na maelezo mafupi na mazuri kwa mahitaji ya wanafunzi ili kuelewa haraka nazihitaji.

Nahitaji nizitoa copy ili niwape wanafunzi wa mashule.
Asanteni
 
Wahimize wasome vitabu sio kuwapa notes zenye maelezo mafupi!

Haya ndio yanapelekea kutoa wanafunzi vilaza wasiopenda kujisomea vitabu!
 
Wahimize wasome vitabu sio kuwapa notes zenye maelezo mafupi!

Haya ndio yanapelekea kutoa wanafunzi vilaza wasiopenda kujisomea vitabu!
ili mwanafunzi aweze kufanikiwa vizuri ni lazima apate mwalimu alie bora pamoja na notes bora za kujisomea
kwa hiyo notes bora si sababu ya mwanafunzi kuwa kilaza
 
ili mwanafunzi aweze kufanikiwa vizuri ni lazima apate mwalimu alie bora pamoja na notes bora za kujisomea
kwa hiyo notes bora si sababu ya mwanafunzi kuwa kilaza
Hebu twende pole pole!
Naomba unijibu haya maswali
1;Unataka huko kuwapa notes hao wanafunzi uachieve nini?

2;Kwanini umeshindwa kuandaa mwenyewe?

3;Ukipewa notes zina makosa utayagundua ilhali Wewe Sio mwalimu wa somo husika?
Kama jibu huwezi kugundua,
Je huoni utakuwa umewapa wanafunzi kitu ambacho Wewe mwenyewe hukijui?
 
1ninachokiamini ni kuwa mwanafunzi hawez kusolve kitu kikubwa kama kidogo hajakiweza kwa maana mwanafunzi akipata notes zenye concept bora zitaweza kumsaidia kukabiliana na vitu vikubwa mbele na hilo ndo ambalo nataka nilione.
2.sio kama nimeshindwa kuandaa mwenyewe lakini haimanishi kutumia notes zilizoandaliwa nà mtu ni makosa bali ni ubora tu wa vitu.ivi kwan ni walimu wote wanaa vitu vyao wenyewe?? mwalimu mzuri ni yule anaesaka kila mahali ili aweze kulinganisha, cjamaanisha kwamba nikipata notes tu nitaziprint niwape wanafunzi, itakua hukunielewa
3.kuomba notes haijamanisha kuwa zote nitaziangalia mimi kuna walimu wengi tu wa kuzitazama ubora wake na kufanya marekebisho ili ziwe bora
 
SIKUJA HAPA KWA AJILI YA MAJIBIZANO NIMEKUJA KWA AJILI YA MSAADA KAMA HAUNA MSAADA KAA KIMYA NA ALIENAO ANITAFUTE
 
Wakuu naomba kama kuna mwalimu yeyote au mtu yeyote mwenye notes za masomo yote kuanzia ngazi ya primary hadi advanced level zilizo na maelezo mafupi na mazuri kwa mahitaji ya wanafunzi ili kuelewa haraka nazihitaji.

Nahitaji nizitoa copy ili niwape wanafunzi wa mashule.
Asanteni
Duh mkuu notes kuanzia primary hadi Advance???mh hebu wasilisha ombi lako upya aisee.
 
Wakuu naomba kama kuna mwalimu yeyote au mtu yeyote mwenye notes za masomo yote kuanzia ngazi ya primary hadi advanced level zilizo na maelezo mafupi na mazuri kwa mahitaji ya wanafunzi ili kuelewa haraka nazihitaji.

Nahitaji nizitoa copy ili niwape wanafunzi wa mashule.
Asanteni
Zipo kwenye tHL app.
Jinsi ya ku-install tHL app
---------------------------
1.Kwa simu Online version Nenda play store/window store SERACH tHL kisha install. https://play.google.com/store/apps/details?id=com.twiga.eschool&hl=en 2. OFFLINE version (for Secondary Schools) Nenda www.thlappstore.co.tz kisha download. Kwenye hiyo site video ya installation ipo hapo (Fuata hiyo video STEP BY STEP). 3. Kwa computer download hapa tHL app ina Scholarships, Notes form I - VI na Ukurasa wa Jamii wenye makala zinazoeleza namna ya kuachana na Msongo wa mawazo na maelezo ya kuinstall kwenye computer haya hapa instructions .
 
Back
Top Bottom