b5-click
JF-Expert Member
- Mar 21, 2012
- 2,194
- 2,113
Habarini wadau.!
Na0mba msaada wenu katika hili, mimi nahitaji simu aina ya NOKIA EXPRESS MUSIC.... Na0mbeni Ushauri wenu ni aina ipi ya XP-MUSIC Ambay0 ni nzuri kwa ma2mizi yafuatay0.!
1. Mawasilian0
2. Internet nzuri
3. Music acess0ry nzuri
...na menginey0.! PIA KWA WALE MNAOFAHAMU BEI YA SIMU HIZO ASISAHAU KUAMBATANISHA.!
Thank You.