Abloodi
Senior Member
- Oct 27, 2011
- 165
- 12
Poleni na majukumu wanaJF wenzangu, mimi natumia vodafone BB bold tatizo ni kwamba network yake haijatulia hata kidogo mara iwe 3G,EDGE,OFF or SOS. Hata nibalishe line ,yaani kwa kwel hata sienjoy internet kwa jinsi inavyokatakata network..... Nisaidieni kwa hili natumia laini ya voda