Msaada wa Netflix cracked

Allydasmartboy001

JF-Expert Member
Jul 14, 2018
599
206
Habari za muda huu na tumia netflix cracked mod premium 7.1 nilichukuaga online ila kwasasa imekuwa nzito sana hasa wakati wa kuchagua link ya kudownload inaweza chukua hadi dak 6 huku mnara ni 4G naulize je kuna mtu yeyote mwenye netflix ambayo ipo cracked na ina speed nzuri ??
 
NETFLIX MODDED APP* 🔥🖥️📱🎞️
UMECHOKA KULIPIA ELF 25 YA NETFLIX, KILA MWEZI? AU UNATAKA KUMILIKI APP YA BURE UANGALIE KILA AINA MOVIE NA SERIES AMBAZO ZIPO NA ZISIZOKUWEPO NETFLIX
HII APP INAFANYA VYOTE HIVYO NA ZAIDI
UNAWEZA DOWNLOAD ANY MOVIE AU ANY SERIES UIPENDAYO
NARUDIA ,ANY MOVIE AU ANY SERIES UIPENDAYO
UTAPATA KILA KITU HUMU
ANDROID- 10000 TU
PC -20000 TU
TUNAKUJA POPOTE DAR KWA ELF 2 TU
TUPO MAWASILIANO STAND PALE PALE
PIGA NAMBA 0743749842
 
NETFLIX MODDED APP*

Kulipia tena nilizania ya bure kama kulipia ngoja nikomae na netflix langu tu
 
Hamna kitu kama icho skia Mwanangu Nenda google Kadownload kitu kinaitwa Tea tv apk then install maisha yanaenda unadownload kila kitu yaani hiyo Netflix version mnayoiita cracked kiukweli ile sio Netflix, Netflix haiko vile
 
Msaada jinsi ya kudownload kwenye hii app....nimeidownload hii app lakini sijaelew napakua vipi material.
 
Baada ya kuichagua hyo Movie au Tv show unayoitaka Nenda sehemu ya Watch now links zintakuja chagua link ya Size unayotaka then click download au unaweza ukatumia download manager
 
Back
Top Bottom