Zombi Mweusi
JF-Expert Member
- Feb 9, 2017
- 1,076
- 2,161
Habari wakuu kuna ndoto nimeota lakini naona tusaidiane mnipe tafsiri iko hivi
Gafla nilionekana nipo navuka korongo kabla ya kumaliza nikakuta mp3 vile vidude vya kusikilizia mziki vikiwa vimeangushwa na mmachinga nisie mjua
Nikafika na kuanza kuokota lakini kwa mbele nilikuwa nahisi kuna hela kweli kuchungulia nakutana kuna shimo lenye hela nyingi hata sijui za nchi gani?
Nilipotaka kuokota gafla akatokea nyoka mweusi kinywani alimaarufu black mamba akanizuia ikabidi niamke ili nikiambie mara upande naotaka kukimbilia ikatokea bustani nzuri ya mizimu
Nikapiga hesabu za kuiruka moyo ukakataa kuiharibu maana lazima ningeivunja ikabidi nyoka aning'ate,nikakimbia kwenda hosptali
Kufika zahanati nakutana vitanda vyote vina watu waliokufa baada ya mimi kufika wakatoa maiti moja ili nilazwe nikakataa ikabidi niongee na Dokta akaniambia nitoe laki 350000 ili nitibiwe nje nikagoma
Nikamwabia kama nimeandikiwa kufa kwa sumu na nife nakaanza kuondoka cha ajabu napokua naenda nyumbani nikakutana na mawe makubwa inabidi niyavuke kwa juu au nipite njia ya chini mapangoni
Ikabidi nipite mapangoni pamoja na Giza lakini cha ajabu nilipofika nusu ya safari nikaanza kuona mwanga pangoni halafu pia niakaanza kukutana na watoto wanaishi huko
Nikashtuka usingizini kucheki saa ni 4:14 usiku na nililala saa 10:46usiku sijaamka wakati si kawaida lazima niamke saa 1:--usiku na 3---usiku
Kwa wanaojua tafsiri msaada