Msaada wa ndege yenye bei nafuu kuelekea Arusha

Msaada wa ndege yenye bei nafuu kuelekea Arusha

mwakizega

Senior Member
Joined
Apr 7, 2015
Posts
165
Reaction score
84
Habari viongozi...
Naombeni msaada kwa yeyote anayejua shirika la ndege lenye nauli nafuu. Nataka kusafiri mchana wa jioni ya leo. Nimepata dharula. Nitashukuru kwa atakayenisaidia
 
Mshana Jr Airlines Dreamliner
Nauli yake haifiki hata 50,000 sawa na bure
Ukitaka kupanda sharti uwe kama ulivyozaliwa na safari inaanza kila siku saa 8 usiku kasoro siku ya Ijumaa tu ambapo ndege inakuwa inafanyiwa matengeneo madogo madogo.
Ndege inakimbia wastani wa Km 1500 kwa dakika 2.
Ukipanda unatakiwa ufumbe mcho mpaka akikwambia ufumbue.
Airport ipo Msata


NB Demiss na Mshana Jr mimi nawatania tu
 
Panda dilimu laina
ikifika moshi itainama kidogo ili uone mlima kili
 
Nilikuwa natokea Dar kiongozi. Nashukuru nimefanikiwa. Barikiwa kwa wale waliokuwa tayari kunisaidia na nikasaidika pia. Mungu awabariki
TWAMBIE UMEPANDA NDEGE GANI YA BEI NAFUU ILI NA SISI TUKIWA NA DHARURA TUPANDE. NA JE NI SH NGAPI?
 
PRECISION AIR...sio nafuu kivile. 375,000 go and return
 
Back
Top Bottom