Asantee Ntafata ushauri wakoTumia Dawa ya Rungu...Inasaidia..
Na usipende kulaza viombo vichafu...
Rungu ndio kiboko Yao. Kama nyumba haishindi na MTU puliza ya kutosha msiingie ndani Kwa Masaa kadhaa. Hata baada ya kudeki wataendelea kufa. Tumia mara Kwa mara watapotea kabisa.
NAKAZIAFanya hivi; kuna sumu maarufu ya mende iko kama chaki; hivyo hivyo kama chaki. Kwa wauzaji waambie sumu ya mende design ya chaki.
Jioni kabla ya kulala panga vyombo vyako sawa sawa hasa jikoni. Paka hiyo sumu kwenye kuta na sakafuni; unachorachora kama watoto wanaojifunza kuandika wanavyo hora kuta. Nenda kalale.
Kama ni mwajiriwa nakushauri zoezi hilo ulifanye weekend Ijumaa kuamkia Jumamosi au Jumamosi/ Jumapili kwani kuna balaa linakuja.
Aloo, kesho yake kazi ni moja tu; mtakusanya viroba kwa viroba vya mende! Na hutoona mende ndani kwako for at least 3 years ahead.
Ulete mrejesho.
Pulizia rungu ,vinginevyo Kuna dawa ya ungaHabari Wakuu
Binafsi nasumbuliwa sana na mende Nyumbani kwangu, kiasi kwamba wamefikia hatua ya kula chochote kilichopo mbele yao mfano chakula, matunda, na hata nyanya, karoti
Lakini cha kushangaza zaidi wamefikia mpaka hatua ya kuning'ata nikiwa nimelala ambapo nikiamka asubuhi nakuta michubuko kwenye vidole vyangu.
Hivyo nimeamua kuja kwenu ili nipate suluhisho
Asanteni
Kiongozi unaifahamu hiyo sumu? Balaa lake kwa mende usiombe. Ila pia inatakiwa kusambatisha mazalia yao hasa kwa kupuliza sumu kwenye makaro.NAKAZIA
hizo rungu ni usumbufu tu,dawa ni chaki
Shida ya rungu na sprays nyingine haiwezi kupenya kwa waliojificha. Chaki nahisi ina flavor fulani inawavuta kokote waliko kuja kuionja.Pulizia rungu ,vinginevyo Kuna dawa ya unga
Itakuwa ni kunguni Hao sio mende ndio wanan'gata kama ni Hao balaa unaloAisee!
yani unachokishangaa ndo mi pia nashangaa hivyo hivyo. Hawa ni mende wa aina gani?
Niliwah kuitumia lakin bado niliendelea kuwaona mendeKiongozi unaifahamu hiyo sumu? Balaa lake kwa mende usiombe. Ila pia inatakiwa kusambatisha mazalia yao hasa kwa kupuliza sumu kwenye makaro.
Punguza uchafuHabari Wakuu
Binafsi nasumbuliwa sana na mende Nyumbani kwangu, kiasi kwamba wamefikia hatua ya kula chochote kilichopo mbele yao mfano chakula, matunda, na hata nyanya, karoti
Lakini cha kushangaza zaidi wamefikia mpaka hatua ya kuning'ata nikiwa nimelala ambapo nikiamka asubuhi nakuta michubuko kwenye vidole vyangu.
Hivyo nimeamua kuja kwenu ili nipate suluhisho
Asanteni