Msaada wa namna ya kurasimisha shamba

UMUNYU

JF-Expert Member
Jan 28, 2017
685
484
Habari wanajf! Nina mpango wa kununua mashamba ili nijenge nyumba kwani kama mnavyofahamu viwanja vilivyopimwa havipatikani sana na ni ghali sana hasa mijini.

Ninaomba anayejua hatua za hadi kupata hati milki anijuze tafadhali.

Ninaomba sana msaada wenu juu ya hilo.
 
Bado ninasubiria msaada wenu wadau!!
 
Habari wanajf! Nina mpango wa kununua mashamba ili nijenge nyumba kwani kama mnavyofahamu viwanja vilivyopimwa havipatikani sana na ni ghali sana hasa mijini.

Ninaomba anayejua hatua za hadi kupata hati milki anijuze tafadhali.

Ninaomba sana msaada wenu juu ya hilo.
Msaada wenu wadau!!
 
Back
Top Bottom