Msaada wa namna ya kuondoa password ya Iphone.

Liborio

Member
Feb 7, 2017
69
37
Mkopo Poa Ndgu zangu.... Mwenye uwelewa kuhusu simu ya Iphone. Kifupi nimeletewa iphone na mtu anashida na pesa... Alinipatia ikiwa inawaka na kuzima kwahyo sikuwa na uwezo wa kuikagua... Baadaye nikatafuta mtu mwenye cm aina ile nikaweka chaji ikawa fresh.... Sasa tatzo ni kwamba ina Password ya Number nifanyaje na Angali yulee Jamaa ameshachukua 40000 yangu.

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
Aisee.
Bila shaka ilikuwa ya wizi hiyo.

Nenda kwa mafundi wakakutolee hiyo password
 
Aisee.
Bila shaka ilikuwa ya wizi hiyo.

Nenda kwa mafundi wakakutolee hiyo password
Nimemwambia Jamaa yangu ameniambia balaaa ndio nimechanganyikiwa kabisaaa

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
Kama huyo jamaa yako wakati anakupa hakutest hiyo password mbele yako.... Ujue fika unaletewa FILAMU hiyo simu itakuwa ya wizi... Kukaa Mzizi wa fitina nenda POLISI jielezee jamaa ataitwa hapo ndo itajulika BASHITE kwao DAR au KOLOMIJE
 
Mkuu ebu geuza kwa nyuma then nitajie hiyo modeli yake then ntakupa maujanja. Ukishindwa leta kwangu uuze
 
Kama huyo jamaa yako wakati anakupa hakutest hiyo password mbele yako.... Ujue fika unaletewa FILAMU hiyo simu itakuwa ya wizi... Kukaa Mzizi wa fitina nenda POLISI jielezee jamaa ataitwa hapo ndo itajulika BASHITE kwao DAR au KOLOMIJE
Asante mkuu tatzo sijui anapokaa na nimeshamuulizia mpaka nimechoka,

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
Asante mkuu tatzo sijui anapokaa na nimeshamuulizia mpaka nimechoka,

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
Taadhali kabla ya matatizo mkuu Dunia imeharibika unaweza ukakuta umewekewa bond simu ya marehemu ooooh na marehemu haijulikani nani amemua
 
Back
Top Bottom