Ukilazimisha ndoa na huyo binti,jiandae na kutumbuliwa jipu wakati mkiwa kwenye ndoa na huyo demu asiyekupenda.maana wakat huo naamini jipu litakuwa lishawiva tayar kwa kutumbuliwa!hlf huyo msela wake akishakutumbua huo mjipu uje tn apa tukupe maujanja jinsi ya kumtega ili ufumanie ugoni,nawe umtumbue jipu huyo chalii maana atakuwa anatoka na mke wa mtu,japo nae ni mumewe ambae sio rasmi!