Msaada wa namna ya kuinstall live tv

kifimbodo

Senior Member
Apr 23, 2015
151
73
Wadau habarini za asubuhi, ni matumaini yangu hamjambo nyote kwa neema zake mwenyezi Mungu.

Kuna wakati niliomba msaada wa namna ya kuangalia mpira live kwenye simu na nilifanikiwa kuinstall phoenix TV,

Kwa mara nyingine tena naomba msaada wa namna ya kuinstall Vdut25 TV, Sportvdevil tv na Gorilla stream.!! Hizi zote zinaonesha mpira mbalimbali hivyo mwenye ufahamu na utalaam naomba anisaidie.

Natanguliza shukurani zangu za dhati.!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom