Mkuu nami nina tatizo na modem yangu. Awali ilikuwa inaunga ila sasa inapata moto sana na haikubali tena kuunga net. Wataalamu tujuzeni kama ndo ishaungua niitupe au kuna jinsi ya kuitengeneza?
Ndio tabia zake hizo
Ikipata sana moto na ukiigusa ikapinda au kushtuka wakati ipo moto basi inasababisha modem kupata madhara ambayo si rahisi mafundi kutengeneza