jamani tumenunua umeme ila kila tukiingiza token kwa usahihi mita inareject tukajaribu kununua umeme mwingine matokeo yake ikawa hivyohivyo ivi tatizo linaweza kuwa wapi
jamani tumenunua umeme ila kila tukiingiza token kwa usahihi mita inareject tukajaribu kununua umeme mwingine matokeo yake ikawa hivyohivyo ivi tatizo linaweza kuwa wapi
Labda haijawa activated na tanesco kama mita ni mpya. waone kwa ajili hiyo.jamani tumenunua umeme ila kila tukiingiza token kwa usahihi mita inareject tukajaribu kununua umeme mwingine matokeo yake ikawa hivyohivyo ivi tatizo linaweza kuwa wapi
ziliisha kabisa ikakata yenyewe
Labda umeshawahi kuingiza vocha hata mara moja?
Kama umewahi basi ingiza vocha yako kama kwaida kisha kandamiza kitufe cha enter mpaka yatokee maandishi ya "close" achia kitufe cha enter bonyeza 1 kisha "ok"
ndio sio mita mpya mbona kitufe cha ok kama sikioni hapa au nihichohicho cha enter.