Msaada wa mimba jamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa mimba jamani

Discussion in 'JF Doctor' started by OME123, Apr 15, 2012.

 1. OME123

  OME123 JF-Expert Member

  #1
  Apr 15, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 1,441
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Jamani leo hii nimejisahau nimekula nyama nyama na mwanafunzi wa form six na yuko kwenye siku zake za hatari kwani ni siku yake ya kumi na tano tangu atoke kwenye MP,naombeni msaada nimwepushe na mimba ambayo inaposibility kubwa ya kuingia naombeni msaada jamani watalaam
   
 2. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #2
  Apr 15, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  Mkuu ungekuwa nchi za wenzetu ungeweza kupata 'morning after pill' sijui kama bongo ipo lakini

  By the way ukipanda bangi usitegemee kuvuna mchicha..
   
 3. OME123

  OME123 JF-Expert Member

  #3
  Apr 15, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 1,441
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  kaka nisaidie ujue sina raha kabisa hapa nilipo alafu ukizinatia baba ake ni mjeda aisee,


   
 4. Deejay nasmile

  Deejay nasmile JF-Expert Member

  #4
  Apr 15, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,916
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Mwambie Aoge mara kwa mara
   
 5. OME123

  OME123 JF-Expert Member

  #5
  Apr 15, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 1,441
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  dejeay nasmile ,sijakupata kivip yaani leo usiku aogee hata mara nne au

   
 6. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #6
  Apr 15, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  Ni masaa mangapi yamepita mpaka sasa hivi na upo mji gani.., (sijui kuhusu Bongo ila nchi za nje ungeweza kupata morning after pill) nadhani UK unaweza kuipata form pharmacies au NHS.., sijui kuhusu Bongo kama unaweza kuipata..

  Anyway sio guarantee kama atapata mimba ila akipata ndio hivyo tena huwezi kujua huenda ndio umepata bahati na kiumbe ni a future mesiah

  Lakini kama ulijua yote hayo kwanini mlifanya tendo (mlikuwa mmelewa ? )
   
 7. OME123

  OME123 JF-Expert Member

  #7
  Apr 15, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 1,441
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Ni masaa kama matano hivi,nipo kahama,kaka nilipitiwa tu


   
 8. dallazz

  dallazz Senior Member

  #8
  Apr 15, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mzinifu
   
 9. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #9
  Apr 15, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  72 - 5 = 67.

  Una masaa 67 weka tangazo hapa JF tafuta mtu ambae yupo UK (najua morning after pills zipo kwa wingi) ongea nae akutumie haraka kesho.., akipata ndege inayokuja huku am sure within 24 hours utakuwa na vidonge vyako na atameza.. huenda vinapatikana sehemu nyingine ila nina uhakika UK vipo
   
 10. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #10
  Apr 15, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  Mkuu kwa kuongezea nimeona hii extract unapoweza kununu hizi pills

  Kwahio from above unaweza kuzipata hata South Africa
   
 11. shizukan

  shizukan JF-Expert Member

  #11
  Apr 15, 2012
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Morning After Pills zipo kwa wingi Nairobi.
   
 12. Nyangomboli

  Nyangomboli JF-Expert Member

  #12
  Apr 16, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,312
  Likes Received: 651
  Trophy Points: 280
  nenda duka la d.wa lolote kubwa kuna vidonge watakupatia vina uwezo wa kuiharibu kama haijazidi mwezi. Nimesahau jina lake. But ujue unauwa kiumbe.
   
 13. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #13
  Apr 16, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,882
  Likes Received: 83,364
  Trophy Points: 280

  Dah! utapitiwaje pale unapoamua kutembea na mtoto wa shule!!!!? Hujui kama kuna kinga za kuzuia ujauzito? Uombe Mungu asipate mimba au itakula kwako.
   
 14. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #14
  Apr 16, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  Kama zipo Nairobi basi mkuu uenda umepona tafuta mabasi yanayokwenda huko ongea na konda au dereva wakurekebishie.., kuanzia kesho utakuwa na masaa kama 55 hivi ukifanya chap chap unaweza ukapata vidonge within this time au kama unajua mtu Nairobi mtume
   
 15. Kapax

  Kapax JF-Expert Member

  #15
  Apr 16, 2012
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Vuna ulichopanda!
  Mzinifu !!
   
 16. toghocho

  toghocho JF-Expert Member

  #16
  Apr 16, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  unauhakika una nguvu za kuweza kumkamatisha mimba? coz unaweza hata nguuvu ukawa huna
   
 17. J

  John W. Mlacha Verified User

  #17
  Apr 16, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  piga mazoezi ya kwenda kuliwa kiboga huko jela
   
 18. OME123

  OME123 JF-Expert Member

  #18
  Apr 16, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 1,441
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  black bat tueshimiane matusi hayo,mio ninachotaka ni msaada tu si vijembe jamaa yangu


   
 19. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #19
  Apr 16, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,263
  Trophy Points: 280
  Napita! Utushirikishe ma-aunt kwenye kuchagua majina ya tamtilia. Wknd nimekuta mdada anamuita mwanae Kimora, nilichoka!
   
 20. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #20
  Apr 16, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Ha ha ha! JF kweli kisima cha Faraja na burudani, mtoto aitwa Kimora
   
Loading...