marikizz
Member
- Mar 9, 2017
- 30
- 9
Habarini ndugu zangu,mimi ni mwanamke ninayejihusisha na biashara ndogo ndogo,natamani niwe na ofisi yangu nijiajiri lakini sasa sina fedha za kutosha naomba kwa mtanzania anayeweza kunisaidia mtaji huo na anipangie muda wa kuirudisha kidogo kidogo hadi hapo ntakapomaliza deni,maana makampuni binafsi ya kukopesha nimejaribu lakini bila mafanikio maana masharti Yao ni magumu sana!kama upo tayar ni PM kwa maelezo zaidi!