T tiku JF-Expert Member Joined Oct 31, 2015 Posts 441 Reaction score 259 Aug 28, 2017 #1 Habari wana jf wenzangu naomba msaada wa mesage zinazoingia wasap kama nimezima simu masaa zaidi ya 12 au siku moja nikiwasha simu mesage zinazoingia wasap zinasema waiting for this mesage afu haziingii za walonitumia inabaki hiyohiyo. Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wana jf wenzangu naomba msaada wa mesage zinazoingia wasap kama nimezima simu masaa zaidi ya 12 au siku moja nikiwasha simu mesage zinazoingia wasap zinasema waiting for this mesage afu haziingii za walonitumia inabaki hiyohiyo. Sent using Jamii Forums mobile app
Nahirat JF-Expert Member Joined Jul 31, 2017 Posts 595 Reaction score 989 Aug 28, 2017 #2 Lazima uwe na subira, zinajifungua taratibu. It can take a day, a week, a month. Lakini lazima zitajifungua tu Sent using Jamii Forums mobile app
Lazima uwe na subira, zinajifungua taratibu. It can take a day, a week, a month. Lakini lazima zitajifungua tu Sent using Jamii Forums mobile app
T tiku JF-Expert Member Joined Oct 31, 2015 Posts 441 Reaction score 259 Aug 28, 2017 Thread starter #3 Huwa nasubiri sana na zinabaki hivohivo Sent using Jamii Forums mobile app
T tiku JF-Expert Member Joined Oct 31, 2015 Posts 441 Reaction score 259 Aug 28, 2017 Thread starter #4 Au nifanyeje ili isinitokee hiyo Sent using Jamii Forums mobile app