Nenda kwenye File Manager ukafute mafaili kwenye simu, maana kila unapoingia WhatsApp na mitandao mingine mafaili (kama picha, msgstore, voice notes, n.k.) yanajaza nafasi...Mimi ninasimu aina ya tecno w5lite,,tatizo haina nafasi imejaaa,,nimenunua memory card ya 16gb,,nimeweka tatizo inasema no space,, nifanyeje?