msaada wa Media Play

msaada wa Media Play

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
8,973
Reaction score
9,869
wakuu Habari za majukumu

kuna video nataka kuangalia but nikiplay napata error { Windows Media Player cannot play the file. The Player might not support the file type or might not support the codec that was used to compress the file.} je ni media play gani naweza kutumia kuangalia hizi video?

mpaka sasa nimetumia VCL, WINDOWS MEDIA NA JET

Mashine yangu inatumia windows 7 64bit
 
Video yako itakuwa ina matatizo. Jaribu kmp player na Allplayer. Ikishindikana basi hiyo video ina matatizo, jaribu kudownload tena hiyo video.
Hakuna video itakayokataa kucheza kwenye VLC au Km player
 
Back
Top Bottom