Nimekuelewa brazaUnatuaibisha wanaume, umekaa wiki tatu bila kumtafuta ni kiherehere gani kilikufanya umtafute?
Ni wazi kabisa kua hauna msimamo demu ameshakuona boya,fala fulani
Tuliza makalio hayo acha kuangaika na demu ambae ameshakutaa, kukataliwa si mpaka uambiwe kua hakutaki
Acha ufala Dogo
Una umri Gani bosshatua niliyo fika ni hii....
Dogo una umri ganiππππOya nipeni ushauri Maamuzi Magumu hapa ni yapi ? nirudi kusalandia ? Na sijahakikishiwa bado mahusiano kama kanikubalia. π₯΄
DuhZilipopita kama week tatu, nikampandia hewani tena, kubembeleza,