mi ni mwanaume mwenye miaka 28.nimeoa mwaka jana na ni kwa shinikizo la wazazi wake hyo ni baada ya kumpa mimba..so nikawa cna jins ckumpenda kivile coz yeye ni black sasa tatizo langu napenda white...na mzigo nyuma...nipo kwenye ndoa lakn kila nikimwona ke white..namtaman....sasa nifantaje cmtaki na tulifunga ndoa ya kikristo

Kwahiyo ukalazimishwa na wewe ukakubali kuoa? Unasema unapenda vitu white sasa huyo black ulianzaje kudate nae mpaka ukampa tumbo? Unadai unapenda madem wenye mizigo, sasa huyo kimbaumbau ulimvuaje nguo mpaka ukampa mimba?
Bro acha kujitoa ufahamu. Ishakuwa ndo imekuwa, Kikristo hatuoi wake wengi, wala hatutaliki ovyo. Ukiona vipi kama mfuko unaruhusu, weka nyumba ndogo mwenye vigezo unavyotaka. KALAGABAHO!!!!!!!
Acha dharau, kwani huyo mpaka unampa mimba ulikuwa umefunga macho. Vuna ulichopanda, tamaa zako ndiyo zimekufikisha hapo. Tulia na mkeo, mpende, muheshimu na mtunze mpaka kifo kitakapowatenganisha. Safi sana walivyokupa mke kinguvu.
Acha ujinga na upumbavu wewe kwani mbona ulikubali kufanya naye tendo la ndo bila ya kumpenda toka moyoni mwako?Acha utoto mke ni mke kwani rangi nini?Hasa ktk maisha ya maisha ya ndoa?Komaa naye huyo ndo wife wako acha ujinga