If I got the chance ya kuongea na huyo bwana harusi ningemwambia, 'Kaka, kimbia!'. Kama mwanamke ameonyesha utata hivyo kbla ya ndoa, mwanaume anaenda kuolewa huyo. Anyway hiyo sio mada.
Weka vitu kwenye mizani, umuhimu wa hii ndoa kuendelea na reputation ya familia yenu na the scandal. Lipi bora? Huyo mwanaume anaweza akamuoa, sawa. Lakini je, unadhani itakuwa rahisi kwake kusahau hii ishu? Wont it backfire later? Seems like a timed bomb huh?
Wapeni muda wenyewe wajifikirie. Sogezeni mbele hiyo harusi. Let them sort this one out themselves. Kwani wakishaoana mtakuepo? Wakiona wanaweza kuendelea fine. Otherwise thank God kaepusha balaa.