Natumaini wote ni wazima wa afya, dhumuni kubwa la uzi huu ni kwamba. Nina mdogo wangu amechaguliwa mzumbe main campus kozi ya Public Admnistration in local Government management (BPA LGM) , sasa mm naomba niulize hii kozi ni zuri kwenye suala la ajira. Maana huyu mdogo wangu amesema iko vzuri ila mimi nataka niwe na uakika zaidi. Kwahiyo Yeyote mwenye kuifaham hii kozi na kada zake vizur naomba anisaidie kuifaham vzuri.