Msaada wa mawazo

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
12,351
16,614
jina langu naomba nisilitaje, ila nimesomea uhandisi wa ICT, na uzoefu wa miaka mitatu kwenye mashirika binafsi, toka yanayo anza hata yale ya wastani. nimefanya pia kwa muda wa zaidi ya mwaka mmoja kwenye mashirika ya umma hasa ktk bank na mawasiliano kama mhandisi mwanafunzi;

Kwa sasa ninawazo la kuanzisha kampuni itakayo jihusisha na mambo yafuatayo.

1. Software and systems engineering solutions
2. ICT support operations
3. Electrical and Telecommunication Operations
4. Innovation and talent management

Number 1 , 2 ndoo nategemea zianze kwanza, na baadaye hayo mengine.

Naamini kabisa tunaweza badili kwa pamoja welekeo wa masiha na tukapunguza wingi wa vijana wasio na ajira.

Nipo naandaa memorandum and article of association.

Naomba maoni yenu, na nini nizingatie ili kufanikisha haya mawazo.

asanteni wakuu
 

vito

Member
Jul 29, 2011
28
8
Kama una uhakika wa kazi na unahitaji watu wa kufanyanao kazi then nitakuanganisha nawo just pm me your contacts I have serious guys in this field internationay
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom