Askari wa motoni
Member
- Aug 15, 2018
- 49
- 28
Kwani semister yakwanza matokeo yalikuwa mabovu kiasi kwamba hukuona ishara?Mimi ni mwanafunzi hapo UDSM mwaka wa kwanza kwa bahati mbaya matokeo yangu hayakua mazuri kwa sababu mbalimbali kwaiyo nimedsco. Nilikua naomba msaada wa mawazo wanabodi...
1. Je!!, nikubaliane na matokeo nifanye ishu nyingine za maisha na je nianzie wapi..
2.Au nifanye mchakato wa kuappeal, na uo utaratibu wa kuaappel unakuaje.
NATANGULIZA SHUKURANI
Hii ndo jamiiforum hahhahhhahahahaha duhsasa mwenyewe umekiri kuwa hukufanya vizuri halafu unataka ukate rufaa, hiyo ni ngumu kumeza. Kama ulikuwa na matatizo si ungehairisha mtihani/mwaka. Kama unataka kuendelea kusoma we omba kozi nyingine uanze upya. Ila rufaa kushinda ni ngumu sana.Ukiamua kurudi kitaa kazi zipo nyingi sana kulima, boda boda, machinga, kuchoma maindi, kuna forex, bitcoin unajichagulia tu
Semister ya kwanza matokeo yalikua freshKwani semister yakwanza matokeo yalikuwa mabovu kiasi kwamba hukuona ishara?
Haukupata supplimentary hata moja? Kama ni kweli wewe unaonekana ulicheza na shule 2nd semisterSemister ya kwanza matokeo yalikua fresh
Asante mkuuMkuu pole sana
Fanya application upya kabla dirisha la usajili halijafungwa. Ukichelewa jaribu tena mwakani. Piga shule angali umri unaruhusuMimi ni mwanafunzi hapo UDSM mwaka wa kwanza kwa bahati mbaya matokeo yangu hayakua mazuri kwa sababu mbalimbali kwaiyo nimedsco. Nilikua naomba msaada wa mawazo wanabodi...
1. Je!!, nikubaliane na matokeo nifanye ishu nyingine za maisha na je nianzie wapi..
2.Au nifanye mchakato wa kuappeal, na uo utaratibu wa kuaappel unakuaje.
NATANGULIZA SHUKURANI