raia_mwema
JF-Expert Member
- Oct 10, 2012
- 479
- 314
Mkuu vyeti vya shule vinaweza kuwa Dhamana? Je ukishindwa kurejesha watavifanyaje? Wataviuza? Ungeweka na hizo Idea tungeweza kukuambia nini ufanye, mimi siwezi kushauri chochote wakati sijui hayo mawazo yako,
Andaa mchanganuo wa biashara yako rafiki yangu,,ukishaiandika onyesha na gharama utakavyozitumia na faida unayoexpect na ni baada ya muda gani.nenda kwa wazazi wako ama ndugu zako waonyeshe na waambie mwenye chochote aweze kukuchangia,naexpect kwa ndugu zako na wewe isiwe pungufu ya 1 millioni (20%).
Then baada ya hapo anza kuwatembelea marafiki na watu ambao baadhi ya ndugu zako watakudirect,also usiweke limi hata mwenye 20000 we accept.ni kazi ngumu lakini ndio utajifunza kuwa ni ngumu kuraise capital na matajiri wengi walipata mitaji yao kwa njia hii.
Thankx, this iz good idea bt tatzo status za relative, hali zao halisi hawataweza kwakweli kufikis hiyo m1
Chimbuvu;
Andaa mchanganuo wa biashara yako rafiki yangu,,ukishaiandika onyesha na gharama utakavyozitumia na faida unayoexpect na ni baada ya muda gani.nenda kwa wazazi wako ama ndugu zako waonyeshe na waambie mwenye chochote aweze kukuchangia,naexpect kwa ndugu zako na wewe isiwe pungufu ya 1 millioni (20%).
Then baada ya hapo anza kuwatembelea marafiki na watu ambao baadhi ya ndugu zako watakudirect,also usiweke limi hata mwenye 20000 we accept.ni kazi ngumu lakini ndio utajifunza kuwa ni ngumu kuraise capital na matajiri wengi walipata mitaji yao kwa njia hii.
Ndo maana nikasema Hiyo Idea yako ingekuwa inajulikana labda tungekushauri vinginevyo make kuna altenative
Ni ngumu kwa mtu kutoa pesa yake kama na wewe haujaweka pesa yako thats why nikakupa 20% uraise kwanza..anza kuwapelekea kwanza hao ndugu na jamaa ama marafiki na uone utakapofikia ,,baada ya hapo itakuwa rahisi,hata nami nitakuongezea ukifikia hatua hiyo.
wanajamvi fungukeni basi?
hebu jaribu Tanzania Investment Bank
Mkuu kote huku ni lazima Uwe na some thing na wale ndo Balaa kabisa, Mkopo unaweza ombwa January ukapewa mwakani mwezi wa Kumi,
Katika biashara ni lazima atleat uanze, hata kama wazo lako linahitaji mtaji mkubwa, jitahidi kuanza something, Ujue hata ukitaka Kujenga Nyumba na ukahitaji masaada, huwezi tu kuwaambia watu kwamba mimi nina Kiwanja, hapo hawataona Juhusi zako kwa sababu swala la Kiwanja ni la lazima katika Kujenga, Ila wakikukuta angalau Umechimba msingi au umenunua hata Misumari kila Moja wataona kweli unajuhudi,
So Mtu asikudanganye kwamba WAZO ndo Kila kitu, na Juhudi haziwezi kupimwa kwenye wazo la Biashara hata siku Moja, Kwa sababu inajulikana Biashara yoyote ile ni lazima ianze na Wazo bila kujalisha umelipata vipi, So wazo si ishu kabisa kwenye taasisi za mikopo ila wanataka kuona umepuga hatua gani na wazo lako hilo? Je umejitahidi mpaka wapi?
So tunao sema mimi nina wazo zuri sana ila nimekosa capital ni wanajidanganya, Ni lazima hilo wazo Ulifanyie some thing, Kama ni wazo la Kufuga Ng'ombe basi anza hata kupandisha Banda lake, hapo itaonekana unajuhudi,
Kama ni kuku anza basi hata na Kifaranga Kimoja, hapo utaonekana kweli unadhamira ya kweli ya kufanya biashara, na si useme tu nina wazo la Kufuga kuku, watu hawatakuamini kamwe
Mkuu, hebu mwaga hapa hizo idea, kuna watu humu wana mitaji lakini hawana muda, wasimamizi na hata pa kuwekeza! Wazo linaweza kuwa zuri wakakutafuta na kuingia mkataba mkafanya biashara!
Mkuu baadhi ya idea ni
1. photo point huwa zinalipa endapo utachagua eneo zuri.
2. busness ya food materials kama mchele, unga, maharage inalipa kama utatarget market maeneo mazuri, haswa ukaweza kwenda mkoani kununua ukaja kuuza dar
3. pia unaweza ukatarget eneo ukaenda kufungua m pesa, tigo pesa ukawa unauza vocha pia
Ndo Idea Ulikuwa unazungumzia? na ndo hizi ulikuwa hutaki watu wazijuie?