Msaada wa mawazo tafadhali.

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Naomba msaada wa mawazo yenu jamani.nilimaliza form six mwaka jana,nikapata division 2.10 katika combination ya Hge,nilichaguliwa chuo cha uhasibu katika fani ya economics with finance,lakini kutokana na kunyimwa mkopo na bodi sikujiunga na chuo,nimeparangana hatimae nimepata msamaria mwema ambae ameniahidi kunigharamikia kwa kila kitu,kwa hiyo naomba mnishauri,nisome kozi gani ambayo iko sokoni sasa hvi(zingatia nataka kuaply chuo kingne na kozi tofauti na niliyochaguliwa mwanzo)
 
muhimu nikujua wewe unapenda kusomea nini,ajira siku hizi ni bahati..kila kazi inalipa tofauti ni mazingira ya kazi ..
 
Ungekua umesoma comb za sciance ningekua na cha kukushauri,ila kwa kuwa ulisoma comb za kuimba mashairi na ngonjera kama mimi huna pa kutokea zaid ya kusoma ma bcom,BBA,economics na mengne yote yanayohusiana na social sciance.over
 
umeandika nini sasa hapo? Hizo ninge/unge huwa vichwani mwa watu wasiojielewa.
 
hivi bachelor of arts in economics ya udom ni nzuri senetor?
 
Back
Top Bottom