ladypeace
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 935
- 506
Habari zenu wapendwa jamani naomba anayejua kuhusu issue za wafanyakazi wa ndani kuhitajika huko Oman anipe uhakika.
Nimekosa amani moyoni maana kunarafiki yangu ananijulisha kuwa yuko kwenye maandalizi ya kwenda oman kufanya kazi za ndani kwamba kaunganishiwa na mtu mkataba miaka 2, mshahara laki nne sasa kinachonisumbua ni hiki,
Je ataenda fanya kazi za ndani kweli au atafanyishwa kazi tofauti na je vipi kuhusu usalama wake mwenzenu nimechanganyikiwa naomba mwenye taarifa nzuri au mwenye connection na yoyote huko oman anisaidie kuhakikisha hilo nashukuru kwa msaada!!