Msukuma 94
Senior Member
- Apr 21, 2017
- 133
- 91
Habari zenu wakuu.... Mimi ni mhitimu wa kidato cha nne mwaka jana, ninapenda kujiunga na fani ya uhigadhi wanyama pori katika chuo cha wanyamapori MWEKA au PASIANSI. Nimeshafanya application tatizo linaloniumiza kicha ni ada zake. Natokea katika familia ya hali duni. Mwenye uelewa wa namna ya kunisaidia jinsi ya kutafuta udhadhili naomba anisaidie mawazo. Asanteni