wamwanjige
Member
- Jan 4, 2018
- 37
- 33
Hahahahaha nilishapata mwanamke wa namna hii yaani ndani ya miezi mita3 ilikuwa kama mwaka mwanamke ana kisiran sijapata kuona ..niliamua kumtimulia mbali1)ana kisirani
2)ana hasira
3)hajali chochote nitakachomfanyia
4)hajali wala kuheshimu hisia zangu
5)nikiona ameenda kinyume nikasema nimwambie ,anazira anasema nina lawama sana
6)single mother
7)simu mpaka umuanze
8)mtu wa social networks sana
9)usiku kitandani hana sitori yoyote ni kulala tena kivyake.ukisema umkumbatie anasema nambana na akilala ni fofofo
10)hapendi romance
11)anasemaga ananipenda sana
12)ni mshauri mzuri
13)hajali
Wakuu hadi kichwa kinanipasuka.mawazo ya kuweza kuishi vizuri na huyu .maana niko stressed sana.namzidi umri kama miaka 8.she is 27 mimi ni 35.lakini najiona niko down sana kwake
10)
Umenena!!! Japo wakati mwingine inaweza Kuwa ni sababu ya kuumizwa na aliye nae ndani. Sometimes ndiyo namna ya kureact kwa ladies. Mleta Uzi, yatafakari hayaHili ni tatizo ambalo wanawake wengi wanalo.
Inatokana na kubeba mizigo mingi moyoni. Starting a new relationship without letting go of the previous one. Hatuchukui mda wa kupumzika na kujifunza kutokana na mahusiano yaliyopita.
Sasa hapo ana maumivu ya kale mara mbili. Ya mzigo wa kuwa single Mom, na Ya watoto wake.
If you truly love her, sit her down. Tell her her problem. Find a therapist for her. She will heal.
Good Luck.