Kwa Hio Budget ushauri wangu Go Mirrorless badala ya Dslr ambazo zimejaa Mtaani.
Mirrorless ni za kisasa upande wa Video, vitu kama stabilization, Focus, Resolution ya Video etc vipo vizuri.
Na budget yako ni kubwa una uwanja mpana wa kuchagua model nzuri.