Msaada wa mawazo kuhusu mkopo kwa continuous walioanza 2020/2021

chagga gang

Member
Aug 21, 2021
62
34
Samahani wakuu, nahitaji kuangalia allocation zetu za 2020/2021 tulizowekewa mwaka jana, zikaonyesha allocation za Miaka mitatu AMBAYO ni 2021, 2022, na 2023
Naingia kwenye system zao sizioni..
Pia jee..Kuna uwezekano wakabadili allocation walizoziweka MWANZONI??

Ahsante, karibuni kwa ushauri
 
Hata mimi nimeona hilo tatizo nikiingia wananiambia niweke employers details.

Sijui nani kawadanganya nimepata ajira.

Hata ukiwauliza hawajibu
 
Allocations hutolewa mara moja tu..kwenye account ila baada ya hapo..zinatolewa kupitia chuo.

#MaendeleoHayanaChama
 
dah hta me nikiingia kw account yang ndy hvyo hvyo...ngoj tuendelee kusubir nahis cc muafaka wetu utajulikana mwishoni.
 
Allocations hutolewa mara moja tu..kwenye account ila baada ya hapo..zinatolewa kupitia chuo.

#MaendeleoHayanaChama
Sasa tutajuaje mwaka wa pili wa masomo tunapewa ada kiasi gani ili tujue tunaongeza kiasi gani.

Maana sio wote wenye mkopo 100%
 
Ukienda chuoni utaona hela unayotakiwa kulipa mkuu..ila allocation hazibadiliki ulizoziona mwaka jana ndizo hizo hizo
 
ndo nataka kujua mapema mzee

ili nijue natafuta kiasi gani cha kuongeza
Sasa sahivi nikiambiwa ada inatakiwa kiasi gani nitajuaje?

najua haibadiliki ila nishasahau mwaka wa pili nilikuwa napata sh ngapi.
 
Hakuna alternative Sasa labda chuoni kwako mkuu
 
Back
Top Bottom