Msaada wa material ya project management

Msaada wa material ya project management

Chishango

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
875
Reaction score
363
Wakubwa naomba kwa yeyote anayeweza anisaidie vitabu au materials ya project management mbarikiwe kwa sana
 
Material ya project management nadhani yapo humu jamvini tayari.
Tumia search tool kwenye menu hapo juu, chini ya "Where we dare to talk openly!"
 
Wakubwa hata mimi nahitaji msaada wa reference materials ya Project management. Nimefuata maelekezo hapo juu lakini sijapata kitu.
 
Nina kitabu cha PMBok kwenye PDF lakini nikijaribu kuupload napata message hii

Your submission could not be processed because a security token was missing.

If this occurred unexpectedly, please inform the administrator and describe the action you performed before you received this error.
 
BlueRay,
PMBOK hiyo dili. Mtu anaetaka kusoma Project Management akiipata, anakuwa amefika. Namshauri huyo anaetafuta material hizo, ikiwezekana aunguze sori ya kiatu akufuate umpe kwenye flash. Mimi pia PMBOK ninayo, anaehitaji anione. Ni-pm tu utapata.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom